Polisi wanasa vifaa vya kielektroniki eneo la Thika

  • | Citizen TV
    904 views

    Polisi Mjini Thika Walinasa Vifaa Vya Kielektroniki Zikiwemo Simu, Pamoja Na Mitungi Ya Gesi Ya Wizi Kwenye Msako Uliofanywa Kijijini Kiganjo Kaunti Ya Kiambu.