Polisi wapata baadhi ya vitu vilivyoibwa kituoni Dagoretti

  • | Citizen TV
    6,469 views

    Maafisa wa polisi wamepata baadhi ya vitu vilivyoibwa kutoka kituo cha polisi cha dagorreti katika maandamano ya siku ya jumatano. Kwa mujibu wa polisi baadhi ya vitu vilivyopatikana ni bunduki moja aina ya AK47 na nyengine inayotumiwa kukabiliana na waandamanaji maarufu anti riot gun. Na kama anavyoarifu Franklin Wallah, polisi wamewatia nguvuni washukiwa kadhaa wanaohusishwa na uhalifu huu.

    gun