Skip to main content
Skip to main content

Polisi wapeleleza ulaghai wa dhahabu, raia wa Marekani alaghaiwa milioni 37

  • | Citizen TV
    3,015 views
    Duration: 3:08
    Wapelelezi katika kituo cha polisi cha Central wanachunguza ulaghai wa dhahabu ambapo raia wa Marekani alilaghaiwa takriban shilingi milioni 37 kwa ahadi ya kuuziwa dhahabu. Maafisa hawa wakivamia makao yaliyoaminika kuhifadhi dhahabu hizo katika eneo la hurlighum hapa nairobi. Washukiwa wawili kwa sasa wanasakwa kwa tuhuma za kuendesha mtandao huo wa ulaghai wa dhahabu