Polisi wasema shughuli ya kutambua mwili wa mwanaharakati wa kisiasa kutoka Meru inaendelea

  • | KBC Video
    44 views

    Familia ya mwana-harakati wa kisiasa, Daniel Muthiani kutoka eneo la Igembe ya Kati kaunti ya Meru itasubiri kwa muda kabla ya kujua iwapo mwili uliopatikana kichakani Marimanti ni wa mwana wao au la. Polisi wamesema shughuli ya kutambua mwili huo inaendelea ingawa ripoti ya mwanzo ya familia hiyo inasema huenda mwili huo ni wa mwanao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News