16 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 263 views Duration: 1:55 Ushirikiano wa maafisa wa polisi na wazee wa mtaa kutoka eneo la Laikipia Kaskazini umesaidia kurejesha mbuzi 25 waliokuwa wameibwa juma lililopita katika kijiji cha Kahuho, Wandi ya Sosian.