Polisi watibua mkutano wa chama cha DCP mjini Kakamega

  • | Citizen TV
    6,685 views

    Mkutano wa chama cha democracy for the citizens party ulitibuka ghafla , baada ya polisi kuwatawanya wafuasi wa chama hicho mjini Kakamega. Mkutano huo ulikuwa ukiongozwa na naibu kiongozi wa chama hicho Cleophas Malala .Na kama anavyoarifu Laura Otieno, Malala amesema kuwa hawatabanduka katika azma yao ya kupigania haki za wakenya.