Polisi watibua mkutano wa DCP, Kigumo

  • | KBC Video
    4,083 views

    Taharuki ilitanda katika eneo bunge la Kigumo, Kaunti ya Murang’a, baada ya maafisa wa polisi kuwazuia baadhi ya viongozi wanaoegemea chama cha Democracy for Citizens (DCP) kufanya mkutano katika eneo hilo. Viongozi hao walikuwa wamehudhuria ibada katika kanisa la AIPCA Christ the King,Kahuro.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News