Polisi wawatia nguvuni washukiwa wa ujambazi kwa barabara ya Uhuru highway, Nairobi

  • | K24 Video
    691 views

    Washukiwa wa wizi katika barabara ya uhuru highway karibu na maeneo ya museum hill wametiwa mbaroni katika msako wa polisi. Inaarifiwa kuwa miongoni mwa waliokamatwa wamekuwa wakivamia magari katika eneo hilo na kuiba na wengine walivamia raia wanaotumia barabara hiyo kuandama shughuli zao. Operesheni iliendeshwa na mkuu wa polisi wa Nairobi