- 1,358 viewsDuration: 3:25Polisi katika kituo cha Isebania kaunti ya Migori wanawazuia watu sita wanaoshukiwa kumuua mwanamke mmoja. Picha za CCTV zilinasa washukiwa wakiubeba mwili wa mama huyo kutoka nyumbani kwake alikouawa. Mumewe marehemu na dereva wa teksi ni miongoni mwa waliokamatwa wakisafirisha mwili huo.