- 3,891 viewsDuration: 3:08President Ruto: Ng’eno alifuatilia maneno ya Mau kwa makini sana. Wale watu 2,000 waliokuwa wanaishi kwa mahema kule milima Mau tuliwashughulikia na kuwapanga. Wale 12,000 waliosalia tutaweka pesa yao kwa bajeti ili kila mmoja atafute mahali pa kuishi