Priscillah Nyairia aonyesha ubunifu katika Kilimo

  • | Citizen TV
    198 views

    Priscillah Nyairia amepata umaarufu kwa ujuzi wake na ubunifu katika kilimo. Priscilla anajihusisha na kilimo na kutoa mafunzo kwa wakulima wa matunda. Kwenye makala ya Mwanamke Bomba juma hili, tunamuangazia priscillah, mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye amezidisha kilimo cha matunda kutoka kwenye ardhi ya ekari mbili hadi ekari Hamsini katika kipindi cha miaka mitano.