Prof. Margaret Hutchinson aanza kazi ya naibu Chansela wa UoN

  • | Citizen TV
    543 views

    Mzozo umeendelea kutokota kuhusu uongozi wa chuo kikuu cha Nairobi, ambako kaimu naibu chansela mpya Prof. Margaret Hutchinson akianza kazi yake. Hii ni baada ya kutimuliwa kwa Stephen Kiama .