Profesa Peter Barasa ndiye Makamu Chansela wa Chuo kikuu cha Alupe

  • | West TV
    162 views
    Prof. Peter Barasa ndiye Makamu chansela wa kwanza wa chuo kikuu cha Alupe katika kaunti ya Busia baada ya kuapishwa rasmi katika chuo hicho alhamisi hii.