Propak East Africa yaonyesha teknolojia mpya ya sekta hizo

  • | NTV Video
    57 views

    Maonyesho ya mbinu mpya za ufungaji, kukabiliana na plastiki katika mazingira na utoshelezaji wa chakula ya Propak East Africa 2025 yanakamilika baadaye hii leo. Maonyesho hayo yanafanyika katika Kituo cha Maonyesho cha Sarit, ambapo zaidi ya kampuni 150 kutoka Kenya na mataifa mbalimbali duniani zinashiriki.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya