- 258 viewsMkewe Rais Rachel Ruto amewataka Wakenya kujitolea mwezi wa Juni na Julai kwa maombi na kufunga kwa ajili ya umoja wa taifa, amani na mshikamano wa kitaifa. Run nat/up: Akizungumza wakati wa mkutano wa tatu wa maombi ya viongozi wa kike, mkewe rais aliyahimiza makanisa, viongozi wa kidini na wananchi kote nchini kuliombea taifa, akisisitiza kuwa ni lazima Wakenya waishi kwa umoja, hususan katika kipindi hiki cha siasa.