Skip to main content
Skip to main content

Radio Citizen yaandaa ziara ya burudani Nyanza

  • | Citizen TV
    162 views
    Duration: 1:13
    Kampuni ya Royal Media Services imewasili Nyanza kwa ziara ya siku tatu za kukutana na wasikilizaji wake mashinani.Watangazaji wa Radio Citizen waliandaa hafla kubwa sokoni Oyugis, Kaunti ya Homa Bay, ambapo wakazi walipokea burudani ya aina yake.Wadhamini mbalimbali wakingozwa na kampuninya mawasiliano ya Safaricom, Joy Millers na Pepsi waliungana na Royal Media Services kuhakikisha wakazi wa Homa Bay wananufaika na sherehe hiyo.