Raga: NYS Spades na Kisii RFC kushiriki ligi daraja la pili msimu ujao

  • | NTV Video
    36 views

    Timu ya raga ya wachezaji kumi na watano ya huduma ya vijana kwa taifa NYS sawa na mabingwa wa ligi ya daraja la tatu humu nchini Kisii RFC watashiriki ligi daraja la pili msimu ujao baada ya kupandishwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya