17 Feb 2026 1:27 pm | Citizen TV 535 views Duration: 1:37 Raia 13 kutoka Ethiopia wenye asili ya Nyangatom,waliokuwa wamevuka mpaka kuingia nchini Kenya na wakakamatwa na makachero wa DCI huko Lokitaung,wameachiliwa huru .