Raia 50 wa India wafumaniwa katika kiwanda cha gesi Kilifi

  • | Citizen TV
    1,275 views

    Kizaazaa kilizuka katika eneo la shauri moyo kaunti ya Kilifi baada ya maafisa wa kaunti waliokua wakifanya msako katika kituo kimoja cha gesi kuwapata watu zaidi ya 50 wenye asili ya kihindi katika kituo hicho.