Skip to main content
Skip to main content

Raia wa Burundi waishiwa fedha na chakula, na baadhi yao wakilazimika kulala nje wakisubiri msaada

  • | NTV Video
    24,525 views
    Duration: 2:57
    Hali ya wasiwasi inaendelea kutanda katika Ubalozi wa Burundi jijini Nairobi, huku raia hao wakisema wameishiwa fedha na chakula, na baadhi yao wakilazimika kulala kwenye kijibaridi wakisubiri msaada. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya