Raia wa kigeni wazuia kufanya baadhi ya biashara Tanzania

  • | BBC Swahili
    11,097 views
    Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi marufuku dhidi ya shughuli 15 za kibiashara kwa raia wa kigeni. Aina za biashara ambazo kuanzia sasa hazitafanywa tena na raia wa kigeni ni pamoja na huduma za uongozaji watalii, uendeshaji wa mashine za kamari nje ya kasino rasmi, na kumiliki viwanda vidogo miongoni mwa nyengine.