Raia wa Ufaransa waeleza uvamizi wa kunguni ilivyoleta wasiwasi katika maeneo mbalimbali ya umma

  • | VOA Swahili
    473 views
    Katika wiki chache zilizopita uvamizi wa kunguni uliokuwa unachukuliwa kwa dhihaka umegeuka haraka na kuwa suala la kisiasa Ufaransa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hisia za raia wa Ufaransa kuhusu uvamizi huo. Endelea kusikiliza... #uvamizi #kunguni #ufaransa #vidudu #taharuki #gumzo #televisheni #vichekesho #voa #voaswahili #dunianileo #siasa #hisia #wasiwasi - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.