- 116 viewsTangu kumalizika kwa utawala wa kikoloni barani Afrika, wageni wengi walilitembelea bara hilo na kuamua kukaa huko moja kwa moja. Walianza maisha mapya na kukumbatia tabia za Kiafrika. Mmoja wa watu hao ni mpiga gitaa mzaliwa wa Uingereza, John Collins. Baada ya kuitembelea Ghana akiwa na baba yake kwa muda mfupi, alirejea huko miaka kadhaa baadaye. Sasa amepewa uraia wa Ghana na anachangia katika tasnia ya muziki nchini humo kama mwanamuziki. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Raia wa Uingereza anavyochangia tasnia ya Music Ghana | VOA Swahili
- 5 Jul 2025 - The Mother-Daughter Crew of Carol and Tinashe Gatimu are at it again, this time across borders! Tinashe (driver) and her mum Carol will become the first mother and daughter crew to finish a rally outside Kenya when they tackle the third round of the FIA…
- 5 Jul 2025 - Syrian rescuers were evacuating residential areas in the coastal Latakia province because of major forest fires, authorities said on Friday.
- 5 Jul 2025 - Opposition leaders under the aegis of United Opposition have vowed to prosecute President William Ruto for alleged extrajudicial killings and corruption if they take power in the 2027 General Election. Speaking during their second Western Kenya tour in…
- 5 Jul 2025 - Albert Ojwang, the young teacher who was a victim of police brutality, was buried on Friday, July 4, 2025. The protests following his death had died down—until the body reached Homa Bay on Thursday, July 3, 2025, and the local youth vented their anger on…
- 5 Jul 2025 - More than 500 people have been killed in the vicinity of the US- and Israel-backed Gaza Humanitarian Foundation's sites since late May, the United Nations said Friday.
- 5 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) will be changed to the Criminal Investigations Service (CIS) headed by a Deputy Inspector General, whose officers will be recruited from the general public if a proposed law is passed. According to the…
- 5 Jul 2025 - When a student misses school consistently, the first reaction from most educators and school administrators is often frustration or disappointment. It feels like the learner is giving up on their future, disengaging from something designed to help them…
- 5 Jul 2025 - Burkina Faso has withdrawn the licences of four foreign NGOs to operate in the junta-led country and suspended two other associations, according to decrees seen by AFP on Friday.
- 5 Jul 2025 - The sharp increase in the prevalence of chronic, major diseases and fatalities from accidents and demonstrations has pushed up the demand for blood needed in hospitals. This is in turn, straining the country’s blood bank. The National Blood Transfusion…
- 5 Jul 2025 - A sombre wave of grief and outrage swept through mourners gathered at Nyawango Primary School for the burial of Albert Ojwang, a high school teacher and blogger whose controversial death has ignited national outcry and calls for justice. Ojwang’s coffin…