Skip to main content
Skip to main content

Raia wawili wa Uturuki washtakiwa Mombasa kwa tuhuma za ugaidi

  • | Citizen TV
    1,788 views
    Duration: 3:05
    Raia wawili wa uturuki wamefikishwa katika mahakama ya mombasa na kushtakiwa kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la ugaidi. Osman elsek ambaye ni mfanyabiashara huko Kilifi anatuhumiwa kuwa mwanachama wa kundi la Alshaabab. Huku mwenzake Gokmen Sandikci akijipata taabani baada ya kupatikana akiwa na mshukiwa kwanza ambaye alikuwa na bunduki.