Raila akemea agizo la polisi kupiga risasi waporaji wakati maandamano

  • | NTV Video
    722 views

    Kiongozi wa ODM Raila Odinga amekashifu vikali agizo la maafisa wa polisi kuwapiga risasi raia wanaopatikana wakipora mali wakati wa maandamano akitaja kuwa ni ukiukaji wa Katiba na kanuni za haki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya