Raila akutana na magavana Simba Arati na Abdulswamad Nassir katika kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    2,981 views

    Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Amefanya Kikao Cha Faragha Na Baadhi Ya Viongozi Wa Chama Cha Odm Wanaopigiwa Upatu Kuchukua Nyadhifa Zilizowachwa Wazi Kufuatia Uteuzi Wa Baadhi Ya Vigogo Wa Odm Kwenye Baraza La Mawaziri.