Raila aonya kwamba huenda mashauriano yakaathiri uhuru wa mahakama

  • | KBC Video
    99 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga ameonya kwamba mazungumzo yanayopendekezwa kati ya mahakama na serikali ya kitaifa huenda yakaathiri uhuru wa mahakama. Haya yanajiri huku wadau mbalimbali wakishinikiza kusitishwa kwa mzozo uliopo kati ya mahakama na serikali, ili kuzua machafuko nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive