Raila Odinga ampiku naibu rais William Ruto katika utafiti wa kampuni ya Tifa

  • | K24 Video
    142 views

    Raila Odinga ndiye mgombea urais mwenye umaarufu mkubwa zaidi baada ya kumteua Martha Karua kama mgombea mwenza wake. Katika utafiti wa hivi punde wa kampuni ya tifa, Raila amempiku naibu Rais william ruto na mgombea mwenza wake rigathi gachagua. raila ana asilimia 39 dhidi ya 35. Utafiti huo pia umeonyesha kuwa muungano wa AZimio la Umoja One Kenya pia unaongoza kwa umaarufu.