Raila Odinga apata uungwaji mkono wa kuongoza tume ya AUC

  • | Citizen TV
    5,769 views

    Safari ya kinara wa Azimio Raila Odinga ya kuwania uenyekiti wa tume ya umoja wa afrika imepigwa jeki huku sasa ghana likiwa taifa la punde zaidi kuunga mkono azma hii. Hii ni kufuatia ziara ya Rais William Ruto nchini humo ambako amempongeza Rais Akufo-Addo kwa kuidhinisha ugombea wa Raila kwenye tume hiyo ya AUC