Je, Urusi na Ukraine watakubaliana kumaliza vita? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,172 views
    Urusi na Ukraine wamekubaliana kubadilishana wafungwa 1,000 wa vita - kila mmoja - baada ya kikao chao cha kwanza cha ana kwa ana kufanyika leo, miaka mitatu tangu vita kuanza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw