Nyota wa Afrika mashariki

  • | BBC Swahili
    708 views
    Asha Baraka maarufu kama ‘Iron Lady ni mwanzilishi na mmiliki wa bendi maarufu ya muziki nchini Tanzania Twanga Pepeta . Je nini siri ya Twanga Pepeta kudumu kwa miaka mingi? Je muziki wa bendi Tanzania unashuka? Tazama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw