Raila Odinga asema hatumii mazungumzo kupata mamlaka serikali

  • | Citizen TV
    4,459 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga hii leo ametupilia mbali madai kuwa anatumia mazungumzo ili kupata nyadhifa serikalini akisema kuwa ajenda yake kuu ni maswala yanayo wahusisha wakenya wote. Akizungumza katika mazishi ya kijana anayedaiwa kuuwawa na polisi huko Makueni, Odinga alimsuta rais William Ruto akidai kuwa anatumia mamlaka yake kufunga taifa katika minyororo ya udikteta