Raila Odinga asisitiza kuwa maandamano yaliyopangwa kote nchini yataendelea

  • | K24 Video
    89 views

    Wakati huo huo kiongozi wa Azimio la umoja Raila Odinga amesisitiza kuwa maandamano yaliyopangwa kote nchini yataendelea. Akiwa huko Kisii, Raila ameitaka serikali isitishe mpango wa kuuza mashirika ya umma