Raila Odinga asisitiza kuwa waasi wa chama cha ODM lazima waondoke chamani

  • | Citizen TV
    4,966 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga amesisitiza kuwa waasi wa chama hicho lazima waondoke chamani.