Raila Odinga ataka walioathirika na moto Embakasi kupewa nyumba za bei nafuu ya serikali

  • | West TV
    36 views
    Huku waathiriwa wa mlipuko wa moto uliotokana na gesi katika eneo la embakasi wakiendelea kuitisha msaada, chama cha odm chini ya kinara raila odinga kimetoa mchango wa shilingi milioni tatu kwa waathiriwa hao huku kikiendelea kuilaumu serikali ya kenya kwanza kwa utepetevu uliosababisha mkasa huo