Raila Odinga awasilisha maombi ya uenyekiti wa AUC

  • | Citizen TV
    3,988 views

    Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amewasilisha rasmi ombi lake la kugombea uenyekiti wa tume ya muungano wa umoja wa Afrika hii leo. Serikali nayo ikisema kuwa ina matumaini makubwa kuwa odinga atapata uenyekiti huo katika uchaguzi wa februari mwakani. Odinga ameorodhesha nguzo tisa kuu ambazo ataziangazia endapo atachaguliwa