Raila Odinga na Kalonzo Musyoka wadai muungano wa Azimio uko Imara

  • | West TV
    86 views
    Huku umoja wa mrengo upinzani wa Azimio ukiendelea kutiliwa shaka na baadhi ya wakenya, jumamosi hii vinara wa mrengo huo wamedhihirisha umoja wao na kusisitiza kwamba wangali pamoja wakiendelea kuimarisha udhabiti wa muungano wao