Skip to main content
Skip to main content

Rais akutana na mabalozi wote wa kigeni nchini

  • | Citizen TV
    1,041 views
    Duration: 1:34
    Rais William Ruto amekutana na mabalozi wa kigeni katika ikulu ya Nairobi, katika juhudi za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia. Kikao hiki cha mapema asubuhi kikifanyika mwaka mmoja baada ya rais kutangaza kuwa kikao hicho kitakuwa cha kila mwaka. Rais kwenye hotuba yake amesema Kenya inalia imara kupanua ushirikiano wake na mataifa ya kigeni na imejenga ushirikiano wa karibu na balozi 70 kufikia sasa. Pia amesifia pakubwa sera ya Kenya ya kigeni, usalama wa kikanda na kukua kwa uchumi nchini