Rais apuuzilia mbali kauli za muhula mmoja mamlakani

  • | KBC Video
    217 views

    Rais William Ruto amesema kuwa utawala wake hautaruhusu ukiukaji sheria. Akizungumza baada ya kuongoza makala ya tisa ya mpango jumuishi wa uhifadhi wa Kaptagat katika eneo la Keiyo kusini kaunti ya Elgeyo Marakwet, Ruto aliushtumu upinzani kwa kuchochea ghasia nchini kwa kuwatumia vijana akisema kuwa utawala wa Kenya Kwanza hautaruhusu uovu huo. Na jinsi mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anavyotuarifu rais aliwashtumu wale wanaoendeleza dhana ya uongozi wa kipindi kimoja akisema kuwa rekodi yake ya utenda kazi itabainika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive