Rais asema atawabwaga wapinzani kwenye uchaguzi wa 2027 kutokana na utendakazi wake bora

  • | KBC Video
    156 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kuzuia msukumo wa kuwachochea vijana nchini. Kiongozi wa taifa badala yake ametoa wito wa ushirikiano unaodhamiriwa kutafuta suluhu za kudumu kwa tatizo la uhaba wa ajira nchini. Haya yanajiri huku akiwaambia viongozi wa upinzani kwamba ana imani atawabwaga kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka -2027 kutokana na utendakazi wake bora. Rais aliyasema hayo alipokutana na viongozi wa kidini kutoka kongamano la makanisa ya kievanjilisti na yale ya kikiristo asilia nchini, katika Ikulu ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive