Rais asema maamuzi yake magumu yamesaidia kuimarika kwa uchumi

  • | Citizen TV
    556 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa uchumi wa Kenya umeanza kuimarika kutokana na maamuzi magumu aliyofanya alipotwaa uongozi, japo yalipingwa na kukosolewa na wengi. Rais akionekena kuangazia hatua zilizopigwa kuimarisha shilingi dhidi ya dola, pamoja na kupungua kwa bei za mafuta na unga.