Rais asema ushirikiano wa ODM-UDA umezaa matunda

  • | KBC Video
    36 views

    Rais William Ruto amesema mapatano ya kisiasa kati ya chama tawala cha United Democratic Alliance-UDA na Orange Democratic Movement-ODM, yameipa serikali yake muda wa kutosha kutekeleza ajenda yake ya maendeleo. Akizungumza huko Homabay ambapo alizindua miradi ya maendeleo akiandamana na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na viongozi wa eneo hilo, Ruto aliendeleza mwaliko kwa wapinzani wake wa kisiasa kujiunga naye huku akishikilia kuwa ni wakati wa kuongoza ajenda ya maendeleo badala ya kujihusisha na malumbano ya kisiasa. Wycliffe Oketch na maelezo zaidi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive