Skip to main content
Skip to main content

Rais asema viongozi wa upinzani hawana sera na kuwa semi zao hazimbabaishi

  • | NTV Video
    3,477 views
    Duration: 2:21
    Rais William Ruto ameendelea kushambulia viongozi wa upinzani, haswa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Ruto sasa amemtaka Sifuna, kutafuta ajenda nyingine kutoka aliowataja kuwa wafadhili wa Sifuna, akishikilia kuwa WanTam na Must Go hazimbabaishi. Ruto aidha amejigamba, akisema ameshafanya kazi yote, na kuwa hakuna kipya ambacho Sifuna atafanyia Wakenya ikiwa atajipata kwenye usukani wa taifa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya