Rais atetea rekodi ya utendakazi wa serikali yake

  • | Citizen TV
    833 views

    Mkutano wa mawaziri unaendelea leo kwa siku ya pili huku viongozi wa serikali wakipiga darubini ufanisi na changamoto ndani ya serikali. Hapo jana, Rais William Ruto alisema kuwa atahakikisha miradi ya maendeleo aliyoahidi inakamilika kabla ya muhula wake wa kwanza kukamilika.