Wahudumu wa matibabu wanaodai malipo ya ziada kutoka kwa wagonjwa wanaozuru vituo vya afya vya hadi kiwango cha Level four, watakamatwa na kushtakiwa. Rais William Ruto amesema halmashauri ya afya ya jamii-SHA inakusudiwa kutoa huduma za afya ya msingi bila malipo, hivyo hataruhusu matabibu walaghai kuhujumu mpango huo wa afya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive