Rais azindua ujenzi wa kituo cha hali ya anga Nairobi

  • | KBC Video
    1,474 views

    Rais William Ruto amekariri kujitolea kwa serikali kujumuisha mbinu za kudhibiti athari za mabadiliko ya tabianchi katika utoaji huduma kwa umma. Akiongea wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa makao makuu ya kituo cha kimataifa cha kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa jijini Nairobi, kiongozi wa taifa alisisitiza haja ya uongozi unaoweka mikakati kabambe ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kuzipa uwezo taasisi husika ili kuafikia maendeleo endelevu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive