Rais mteule wa Nigeria aelekea Ufaransa kwa mapumziko

  • | VOA Swahili
    261 views
    Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu aelekea Ufaransa katika ziara ambayo atatembelea pia Uingereza. Msemaji wake ameeleza sababu ya safari hiyo. Ungana na mwandishi wetu akukuletea ripoti kamili... #rais #raismteule #nigeria #ufaransa #ziara #uingereza #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.