Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aahidi kuendeleza waliyoafikia na Raila

  • | Citizen TV
    3,604 views
    Duration: 4:04
    Rais William Ruto aliahidi chakula cha kutosha nchini, nyongeza ya thamani kwa bidhaa zinazouzwa nje pamoja na miundo mbinu kama mustakabali wa makubaliano yake na hayati Raila Odinga. Rais akihutubia sherehe za mashujaa mwaka huu huko Kitui amesema, hii ndio njia waliyokubaliana kuwa itainua nchi kufikia ngazi ya kwanza duniani.