- 1,807 viewsDuration: 2:13Rais William Ruto ameahidi kuwa serikali itawafidia waathiriwa wa maandamano ambao waliwapoteza jamaa zao. Rais Ruto aliwataja waandamanaji kama mashujaa. Akizungumza huko Kisumu,Ruto amesema kuwa hatua hiyo inaandamana na makubaliano kati yake na hayati Raila Odinga. Haya ni huku mazungumzo ya kuafikia usuhuba wa kisiasa kati ya ODM na UDA yakichacha.