Rais Ruto aahidi kukabiliana na makundi yanayovurugha sekta yakilimo nchini

  • | KBC Video
    59 views

    Rais William Ruto ameahidi kukabiliana vikali na makundi haramu ambayo yanalemaza sekta ya kilimo nchini. Rais alisema kuwa ana matumaini kuwa naibu wake Rigathi Gachagua atalainisha sekta za kahawa na majani chai. Alisema kuwa uteuzi wake haukulenga kuwachochea wafuasi wake dhidi yake. Rais alikuwa akiongea alipohudhuria ibada ya maombi ya shukrani kwa madhehebu mbalimbali katika uwanja wa Bomet Green.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #presidentruto #agriculturesector